Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI DMV


Mkutano mkubwa ulioandaliwa na kanisa la Cathedral of Praise unaendelea ukiwa katika hatua za mwishomwisho. Mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Hampton iliyoko Baltimore ave College Park umefanyika kwa mafanikio ukishirikisha wahubiri kutoka states mbalimbali za hapa Marekani.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Matukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

Ujumbe wa Tanzania unaendelea kushiriki katika kikao cha Mkutano Mkuu wa Kumi na saba wa Shirikia la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Congress 17), mijini Geneva, nchini Uswisi. Ujumbe huo umeshiriki katika matukio mbalimbali ya mkutano huo ikiwa ni pamoja na Dkt. Agnes Kijazi kushiriki katika siku ya Jinsia ya WMO (WMO Gender Day), kutoa mada zilizotoa uzoefu wa Tanzania wa utekelezaji wa program za utekelezaji wa programu ya utoaji wa huduma bora za hali ya hewa kwa jamii “Global Framework for...

 

5 years ago

Michuzi

Matukio katika picha: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM.




Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, unaoendelea katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,alipowasili kufungua Mkutano huo ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA: MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU, MAAFISA WAANDAMIZI NA WADAU WA UTATU WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA



 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Massawe (kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa Makatibu Wakuu, Maafisa Waandamizi na Wadau wa Utatu wa sekta ya Kazi na Ajira wa Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuelekea Mkutano wa Mawaziri  wa sekta hiyo utakaofunguliwa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV

Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyoMkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya waTanzania Wasabato walioko Marekani  (Tanzania Adventists in the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am  - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church; 
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI

 Mchungaji Wilbert Nfubhusa akiongoza mkutano wa kiroho siku ya Ijumaa April 17, 2015 mkutano ulioanza siku ya Alhamisi April 16, 2015 katika kanisa la Wasabato lililopo mtaa wa Lockwood Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo mbalimbali hapa Marekani. Leo Jumamosi April 18, 2015 Mhe. Balozi Liberata Mulamula anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo unaotarajiwa kumalizika siku ya Jumapili April 19, 2015.Mchungaji Dr. Herry Mhando (kati karibu na kamera)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani