Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV

Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyoMkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya waTanzania Wasabato walioko Marekani  (Tanzania Adventists in the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am  - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church; 
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA KIROHO WASHINGTON DC

 Jumuia ya watanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States), kwa kifupi TAUS, itakuwa na mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) unaoanza leo Washington DC. Viongozi wa TAUS wanawakaribisha watu wote wajumuike pamoja nao katika kumsifu na kumshukuru Mungu muumbaji wetu. TAREHE ZA MKUTANO: April 16 (saa 11 jioni), mpaka April 19 (saa 5 asubuhi) MAHALI- Burnt Mills SDA Church; 10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901 MGENI RASMI: Mchungaji Wilbert...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI

 Mchungaji Wilbert Nfubhusa akiongoza mkutano wa kiroho siku ya Ijumaa April 17, 2015 mkutano ulioanza siku ya Alhamisi April 16, 2015 katika kanisa la Wasabato lililopo mtaa wa Lockwood Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo mbalimbali hapa Marekani. Leo Jumamosi April 18, 2015 Mhe. Balozi Liberata Mulamula anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo unaotarajiwa kumalizika siku ya Jumapili April 19, 2015.Mchungaji Dr. Herry Mhando (kati karibu na kamera)...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAKARIBISHWA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA KIROHO


umuia ya watanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States), inakualika katika mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) unaonza leo hapa Washington DC. Wote mnawakaribishwa tujumuike na kumshukuru muumbaji wetu. TAREHE ZA MKUTANO: April 16 (5pm), mpaka April 19 (11am) MAHALI- Burnt Mills SDA Church; 10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901 MGENI RASMI: Mchungaji Wilbert Nfubhusa toka Kigoma, Tanzania. 
MOTO: Kufanana na Yesu
Karibuni sana, na Mungu...

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDUTAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DCCHUO KIKUU CHA HOWARD – WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano  (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI DMV


Mkutano mkubwa ulioandaliwa na kanisa la Cathedral of Praise unaendelea ukiwa katika hatua za mwishomwisho. Mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Hampton iliyoko Baltimore ave College Park umefanyika kwa mafanikio ukishirikisha wahubiri kutoka states mbalimbali za hapa Marekani.

 

9 years ago

Vijimambo

Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
 Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
 Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
 F-22 Raptor

 F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
 F-22 a.k.a Raptor ikisalimu...

 

9 years ago

Michuzi

Maonesho ya ndege za kivita Washington DMV Jana Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji. Askari miavuli wakishuka kwa aina yake Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON‏

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani