Maonesho ya ndege za kivita Washington DMV Jana Sept 19, 2015
Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji. Askari miavuli wakishuka kwa aina yake Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMaonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015
Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
F-22 Raptor
F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
F-22 a.k.a Raptor ikisalimu...

Vijimambo10 years ago
VijimamboMkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV
Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyoMkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya waTanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...

10 years ago
GPLNDEGE ZA MUUNGANO ZA KIVITA DHIDI YA DAESH ZAUA 66 SYRIA
Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria zimefanya mashambulio katika maeneo kadhaa na kuua raia 66 wa nchi hiyo. Harakati ya Kutetea Haki za Binadamu iliyoko nchini Uingereza inayoitwa Syrian Observatory for Human Rights 'SOHM' imeeleza kuwa, raia 66 wa Syria wakiwemo watoto 10 na wanawake 6 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na ndege za kivita za muungano...
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Waasi wa Houthi wadungua ndege ya kivita ya Saudi Arabia nchini Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wameidungua ndege ya jeshi la Saudi Arabia, wakati Saudi Arabia ikisema ''ilianguka''.
10 years ago
Vijimambo30 Sep
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

Dewji Blog31 Aug
Washington DC habari ya mujini ni Shilole na Ommy Dimpoz Live Jumapili hii Sept 6 sikukuu ya Labor Day
SHOW HII INAWAUNGANISHA WASANII WATATU KUTOKA TANZANIA NA SOUTH AFRICA YAANI PATA SHOW TATU KWA BEI YA SHOW MOJA.
10 years ago
VijimamboRATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC
RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDUTAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DCCHUO KIKUU CHA HOWARD – WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania