Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Frida na Lavorne walivyomeremeta siku ya harusi yao Sept 21 Washington, DC

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

9 years ago

Vijimambo

Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
 Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
 Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
 F-22 Raptor

 F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
 F-22 a.k.a Raptor ikisalimu...

 

9 years ago

Michuzi

Maonesho ya ndege za kivita Washington DMV Jana Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji. Askari miavuli wakishuka kwa aina yake Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

Washington DC habari ya mujini ni Shilole na Ommy Dimpoz Live Jumapili hii Sept 6 sikukuu ya Labor Day

SHOW HII INAWAUNGANISHA WASANII WATATU KUTOKA TANZANIA NA SOUTH AFRICA YAANI PATA SHOW TATU KWA BEI YA SHOW MOJA.

 

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wapenzi waliohairisha harusi yao

Zuio la mikusanyiko ya watu laweza kuwa sababu tosha kwa wapenzi kubadili mipango yao ya harusi kwa sasa.

 

10 years ago

Vijimambo

RASHID NA UPENDO WAMEREMETA KWENYE SHEREHE YA HARUSI YAO COLUMBIA

Bwana na Bi Harusi Rashid na Upendo wakiwa ndani ya gari ndefu walipowasili kwenye ukumbi wakijiandaa kuingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Columbia, Maryland nchini Marekani.Rashid na Upendo wakiingia ukumbini.Maharusi na wasimamizi wao wakiwa ukumbini.Rashid na Upendo wakiwa  meza kuu.Upendo akimlisha keki mumewe.Rashidakimlisha keki mkewe.Maharusi wakinyeshana kanywaji kepesi.Maharusi wakicheza dansi yao ya kwanza.Dennis Mdoe kaka wa...

 

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI WA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY WATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI "SEPT 12" BAADA YA KIKAO NA WALEZI

Viongozi wa New York Tanzania Community wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mh. Balozi Mwinyi baada ya kikao cha kupanga tarehe ya uchaguzi kutokana na viongozi walio madarakani kumaliza muda wakuiongoza community. Baada ya kikao hiki Watanzania waishio New York na vitongoji vyake watatangaziwa  siku ya kuchukua form na sifa za wagombea wanaofaa tayari kwa uchaguzi wa nyazifa mbalimbali ndani ya New York Tanzania Community. Uchaguzi huo utafanyika siku ya jumamosi tarehe 12 mwezi wa 9 mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani