Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI YA SIMBA 0 NA YANGA 2 TAIFA SIKU YA JUMAMOSI SEPT 26, 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TBL YATOA JEZI KWA MECHI YA SIMBA NA YANGA DMV AUG 29, 2015 UWANJA WA KAPETI HYATTSVILLE

Rais wa DMV ndugu Iddi Sandaly akikabidhiwa jezi za Simba na Yanga na mmoja ya wafanyakazi wa TBL Tanzania tayari kwa mpambano unaosubiliwa kwa hamu wa Simba na Yanga DMV
Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 kwa mara ya kwanza DMV itafanyika pambano kabambe la Simba na Yanga katika uwanja wa Heurich turf field uliopo Hyattsville, Maryland nyuma ya Home Depot anuani ni 6001 Ager Rd, Hyattsville, MD 20781, Mpambano huo ni kwa wachezaji wa DMV tu

 

9 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU- Ughaibuni inatategemewa kufanya onyesho maalumu katika Grande VIPsiku ya jumamosi 12 Septemba 2015,kule katika kisiwa cha mabwanyenye Marbella,kilichopo Spain. bendi hiyo imealikwa na VIP Yatch Club ya Marbella.Usikose kuungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015

 Ngoma Africa band Ngoma Africa Band aka FFU katika gwaride jukwaani nchini Latvia
KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Vijimambo

LEO JUMAMOSI 5 SEPT 2015 NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waiite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's yenye makao kule Ujerumani inatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho ya Vechelde Festival nchini Ujerumani Jumamosi 5. September 2015 saa 2:00 Usiku katika eneo la :Bürgerzentrum Vechelde liliopo mtaa Hildesheimer Straße 5 mjini Vechelde jirani mji wa Braunschweig,Ujerumani.Bendi hiyo maarufu Ngoma Africa yenye sifa za kuwatia kiwewe washabiki wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

KUONA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA NI BUKU 5 TU JUMAMOSI HII

 Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumamosi kati ya Tanzania dhidi ya Algeria utakaochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam bei ya chini kuwa ni shilingi elfu tano (5,000) tu.
Tiketi za mchezo huo zitaanzwa kuuzwa siku ya ijumaa katika vituo mbalimbali vinavyotumiwa na TFF kuuzia tiketi, ambapo kiingilio kingine kitakua ni elfu kumi (10,000) kwa viti vya VIP B & C, huku kiingilio cha elfu tano kikiwa ni kwa viti vya rangi ya Bluu, Kijani...

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani