Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015
Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji. Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
F-22 Raptor
F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
F-22 a.k.a Raptor ikisalimu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMaonesho ya ndege za kivita Washington DMV Jana Sept 19, 2015
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-K_fAZKkSAnw/VhxAxSZ-W_I/AAAAAAAAJzo/OxO-Xtw3gcU/s72-c/Cookout-page-0.jpg)
10 years ago
VijimamboMkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBuEzvavmqzMTrvfLUPH9nbSc8Twz3W4JB4dqFRl7LD*YH1M3zjYhzYaTxPLCM9*bnvXgjREckKkPwF4RXqmzB9q/usarmyaircraftmo328.jpg?width=650)
NDEGE ZA MUUNGANO ZA KIVITA DHIDI YA DAESH ZAUA 66 SYRIA
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Waasi wa Houthi wadungua ndege ya kivita ya Saudi Arabia nchini Yemen
10 years ago
Vijimambo30 Sep
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s72-c/logo.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s1600/logo.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UvwL3Rs9NRk/VAnpx8TJ9mI/AAAAAAAAEVE/b48w150g9ko/s1600/logo%2Btanzania.jpg)
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-2aN7EqULMVg/VOA-w7tSj5I/AAAAAAAAGA8/TMIs4TSe4zE/s1600/14-1.jpg)
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Washington DC habari ya mujini ni Shilole na Ommy Dimpoz Live Jumapili hii Sept 6 sikukuu ya Labor Day
![](http://4.bp.blogspot.com/-wkCfZFGKebY/Vd6pkKXss-I/AAAAAAAATaQ/Jbgjf80AlqI/s640/OMMY%2BSHISHI%2BOC%2B3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s72-c/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC
![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s1600/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...