Waasi wa Houthi wadungua ndege ya kivita ya Saudi Arabia nchini Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wameidungua ndege ya jeshi la Saudi Arabia, wakati Saudi Arabia ikisema ''ilianguka''.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Houthi washambulia Saudi Arabia
Saudi Arabia inasema kuwa imezuia makombora yaliyofyatuliwa kutoka nchini Yemen kwenda ardhi yake na waasi wa Houthi
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Yemen yakabiliana na waasi wa Houthi
Wanajeshi wa serikali wameanzisha mashambulio makali yenye lengo la kuwafurusha waasi wa Kihouthi kutoka eneo moja lililokuwa kituo cha wanajeshi wa anga huko mjini Aden.
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Yemen:Waasi wa Houthi wafurushwa kambini
Vikosi vinavyounga mkono serikali nchini Yemen vimechukua kambi kubwa ya wanahewa katika makabiliano na waasi wa Houthi ,msemaji wa vikosi hivyo ameambia BBC.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Waasi wa Houthi wachukua serikali Yemen
Waasi wa Shia wametangaza kutwaa uongozi wa kisiasa nchini Yemen,
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziPINDA AAGANA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo Februari 13, 201 kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 2015 kuaga. Picha na ofisi ya...
10 years ago
GPLPINDA AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es… ...
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Upinzani nchini Syria wakutana Saudi Arabia
Makundi ya upinzani nchini Syria yanatarajiwa kukutana nchini Saudi Arabia katika jitiha za kuwaunganisha
9 years ago
VijimamboKRENI YAUA 107 MJINI MECCA NCHINI SAUDI ARABIA
Gavana katika eneo la Mecca ameamrisha kufanyika uchunguzi kufuatia kuanguka kwa kreni katika msikiti mkubwa zaidi duniani. Utawala nchini Saudi Arabia unasema kuwa upepo mkali ndio ulisababisha kreni iliyokuwa ikitumika kwa ujenzi kuanguka kwa msikiti mkubwa mjini mecca ambapo watu 107 waliuawa na wengine takriban 200 kujeruhiwa.
Mkuu wa idara ya ulinzi wa angani nchini humo alisema kuwa kulikuwa na mvua kubwa wakati ajali hiyo ilipotokea na upepo ulikuwa ukivuma kwa takriban kilomita 83...
Mkuu wa idara ya ulinzi wa angani nchini humo alisema kuwa kulikuwa na mvua kubwa wakati ajali hiyo ilipotokea na upepo ulikuwa ukivuma kwa takriban kilomita 83...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania