Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE ZA MUUNGANO ZA KIVITA DHIDI YA DAESH ZAUA 66 SYRIA

Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria zimefanya mashambulio katika maeneo kadhaa na kuua raia 66 wa nchi hiyo. Harakati ya Kutetea Haki za Binadamu iliyoko nchini Uingereza inayoitwa Syrian Observatory for Human Rights 'SOHM' imeeleza kuwa, raia 66 wa Syria wakiwemo watoto 10 na wanawake 6 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na ndege za kivita za muungano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
 Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
 Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
 F-22 Raptor

 F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
 F-22 a.k.a Raptor ikisalimu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege za Pakistan zaua Taliban 15

Ndege za jeshi la Pakistan zimeshambulia maficho ya Taliban huko Waziristan

 

9 years ago

Michuzi

Maonesho ya ndege za kivita Washington DMV Jana Sept 19, 2015

Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji. Askari miavuli wakishuka kwa aina yake Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Houthi wadungua ndege ya kivita ya Saudi Arabia nchini Yemen

Waasi wa Houthi wamesema wameidungua ndege ya jeshi la Saudi Arabia, wakati Saudi Arabia ikisema ''ilianguka''.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la muungano lawaua 50 Syria

Ripoti kutoka Syria zinasema kuwa zaidi ya raia 50 wameuawa kwenye shambulizi la angani lililoendeshwa na muungano wa Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya muungano yashambulia IS Syria

Ushirikiano unaoongozwa na Marekani, unasema kuwa umefanya mashambulio makubwa ya ndege dhidi ya shina la wapiganaji wa Islamic State, katika mji wa Raqqa, wa Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama apitisha ndege za uchunguzu:Syria

Rais wa Marekani Barack Obama ameidhinisha ndege za ufuatiliaji juu ya Syria kupata habari zaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za Ulaya zashambulia wanajeshi wa Syria

Kundi moja linalopigania haki za kibinadamu Syrian Observatory limesema wanajeshi wengine 13 walijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo katika kambi ya jeshi ya Saeqa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria

Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani