Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria
Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria
Urusi imeonya kuwa kuna hatari ya kuzuka vita hatari Syria baada ya Marekani kusema itawatuma wanajeshi maalum kusaidia waasi Syria.
11 years ago
GPL
MAREKANI YAWASHAMBULIA WANAMGAMBO WA SYRIA KWA NDEGE
Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria. Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.…
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Urusi: Uchunguzi wa kina kuhusu ndege
Wachunguzi wa ile ndege ya Urusi iliyoanguka nchini Misri, wanasema kuwa watatumia kila mbinu ili kubaini kilichosababisha ajali hiyo
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Urusi: Habari muhimu kuhusu ndege ziliharibiwa
Kifaa maalum cha kunasa sauti kwenye ndege maarufu kama Black Box, cha ndege ya kivita ya Urusi iliyodunguliwa na Uturuki kiliharibiwa, haya ni kwa mujibu wa Urusi.
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Urusi matatani kuhusu kuanguka kwa ndege
Mataifa ya magharibi yaitaka urusi kuyashinikiza makundi ya wapiganaji wanaounga mkono Urusi kuhusu eneo la mkasa wa ndege
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Urusi na Misri zakerwa na madai kuhusu ndege
Urusi na Misri zimekosoa taarifa zilizotolewa na baadhi ya mataifa kwamba ndege ya Urusi iliyoanguka Sinai na kuua abiria 224 huenda ililipuliwa kwa bomu.
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Marekani yaiomba Urusi kuhusu waangalizi
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry aiagiza Urusi kupigania uhuru wa waangalizi wa kijeshi waliotekwanyara .
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Marekani yaonya kuhusu mashambulio ya Urusi
Muungano unaoongozwa na Marekani kukabiliana na wapiganaji wa IS umesema mashambulio ya Urusi nchini Syria yanadhuru wanaompinga Assad.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania