Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKANI YAWASHAMBULIA WANAMGAMBO WA SYRIA KWA NDEGE

Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria. Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Iraq:Marekani yawashambulia wanamgambo

Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa inaendelea kuwashambulia wanamgambo wa taifa la kiislamu kazkazini mwa Iraq.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria

Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawashambulia wapiganaji Iraq

Marekani imesema kuwa mashambulizi ya ndege zake zisizo na rubani yameharibu magari mawili ya wapiganaji nchini Iraq.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq:Marekani yawashambulia wana Jihad

Marekani yatekeleza mashambulizi ya angani dhidi ya wapiganaji wa Islamic State karibu na bwawa la Hadatha magharibi mwa Iraq.

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UONGOZAJI NDEGE YA MAREKANI FAA YATOA MAFUNZO KWA WAONGOZA NDEGE BARANI AFRIKA

 Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Wa Anga Tanzania (TCAA) Varrely Chanmlunga akimkaribisha Meneja Mipango  wa Kimataifa wa  Idara ya uya uongozaji wa Ndege wa Marekani (FAA) Michele Cappelle  wakati wa Warsha ya uongozaji  wa ndega  barani afrika  iliyoandaliwa na  Idara ya Anga ya Marekani  .Washa hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara  ya Uongozaji  wa Ndege ya Marekani (FAA) Tony Ferrante. Baadhi ya washiriki wa Warsha ya uongozaji wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama:Wanamgambo ndio walioangusha ndege

Rais Barrack Obama amesema kuwa ushahidi unaonyesha kwamba ndege ya Malaysia Airline iliangushwa na kombora la wanamgambo,Ukraine

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria

Jeshi la Marekani limetoa zaidi ya tani 45 za silaha kwa waasi wanaopambana na wanamgambo wa Islamic State (IS)

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia Wanamgambo wa IS

Ndege za Marekani zimeshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic state kaskazini mwa Iraq

 

11 years ago

Bongo5

Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda

Ikiwa hata saa 24 hazijatimia toka taarifa ya kuanguka kwa ndege nyingine ya Malaysia jana huko Ukraine, ndege nyingine ndogo imelazimika kutua kwa dharura barabarani leo (July 18) nchini Uganda. Ndege hiyo aina ya N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la Kiwawu umbali wa kilomita 22 kutoka wilaya ya Mityana na kuathiri […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani