Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda
Ikiwa hata saa 24 hazijatimia toka taarifa ya kuanguka kwa ndege nyingine ya Malaysia jana huko Ukraine, ndege nyingine ndogo imelazimika kutua kwa dharura barabarani leo (July 18) nchini Uganda. Ndege hiyo aina ya N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la Kiwawu umbali wa kilomita 22 kutoka wilaya ya Mityana na kuathiri […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Ndege yatua barabarani Uganda
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Ndege iliyobeba silaha yakamatwa Nigeria
10 years ago
VijimamboNDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu
Ndege ya Air France ikiwa imetua
Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Ripoti: Ndege ya Algeria iliyobeba watu 116 imethibitishwa kuwa imeanguka
Ndege ya shirika la Algeria iliyokuwa imebeba abiria 116 ambayo awali iliripotiwa kuwa imepoteza mawasiliano kwa zaidi ya dakika 50 imethibitishwa kuwa imeanguka.
Kwa mujibu wa Aljazeera, maafisa wa Algeria wamethibitisha kuwa ndege hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Burkina Faso kwenda katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imeanguka Kusini mwa Mali.
Maafisa wa serikali ya Ufaransa wameeleza kuwa ndege hiyo AH5017 ilipotea kwenye radar katika eneo la Mali baada ya mvua kubwa kunyesha na...
9 years ago
MichuziIDARA YA UONGOZAJI NDEGE YA MAREKANI FAA YATOA MAFUNZO KWA WAONGOZA NDEGE BARANI AFRIKA
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura…
Matukio ya ajali za ndege yalichukua headlines katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Kuna hii nyingine inayohusisha ndege ya abiria aina ya Air France Boeing 777 AF463, iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Mauritius na Paris ambapo imelazimika kutua kwa ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kuwepo hofu ya bomu. […]
The post Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura… appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo30 Sep
MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Ndege za dharura kusambaza dawa Yemen