Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA

NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na Haji Nassor, Pemba

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

151220072609_air_france_624x351_reuters_nocredit

Ndege ya Air France ikiwa imetua

Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho

 ndege nyingine ya air tanzania aina ya  CRJ-200 ER yenye  uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo  ndege hiyo itaanza  kuruka kesho.

 

11 years ago

Bongo5

Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda

Ikiwa hata saa 24 hazijatimia toka taarifa ya kuanguka kwa ndege nyingine ya Malaysia jana huko Ukraine, ndege nyingine ndogo imelazimika kutua kwa dharura barabarani leo (July 18) nchini Uganda. Ndege hiyo aina ya N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la Kiwawu umbali wa kilomita 22 kutoka wilaya ya Mityana na kuathiri […]

 

10 years ago

GPL

YANGA YATUA PEMBA

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi (Picha na Maktaba). Msafara wa watu 35 ukiwa na wachezaji 27 na benchi la Ufundi 8 wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kujiandaa na mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015. Kocha mkuuu Marcio Maximo na kikosi chake wamefikia katika hoteli ya kitalii ya Pemba Misali iliyopo eneo la Wesha na watakua wakijifua kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA


Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...

 

5 years ago

Michuzi

MUHIMBILI YASAMBAZA VAZI LA PPE KWA KAMATI ZA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili Bi. Zuhura Mawona (kushoto) akimkabidhi Kaimu Mfamasia Mkuu Manispaa ya Kinondoni Bw. Oswen Sanga (Kulia)  mavazi ya kujikinga na Covid 19 yaliyoshonwa MNH. Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili Bi. Zuhura Mawona (kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu Manispaa ya Ilala  Dkt. Emily Lihawa (Kulia)  mavazi ya kujikinga na Covid 19 yaliyoshonwa MNH.



Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kusambaza  mavazi maalumu...

 

9 years ago

Michuzi

NDEGE YA UTAFITI YATUA KILIMANJARO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu ujio wa ndege ya pili ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mwishoni mwa wiki, ndege hiyo inatarajia kuanza utafiti wiki hii katika kitalu cha Eyasi Wembere na Mandawa. Mkurugenzi Mtendaji TPDC Dkt. James Mataragio akipatiwa maelekezo ya jinsi ndege hiyo inavyofanya kazi (ndani ya ndege)...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege yatua barabarani Uganda

Shughuli ziliathirika leo wilayani Mi baada ya ndege kutua kwa dharrua katika barabara ya magari katika eneo la Mityana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege za dharura kusambaza dawa Yemen

Shirika la Kimataifa la Msalaba mwekundu limesema linamatumaini ya kupeleka ndege mbili za dharura katika mji mkuu wa Yemen Sanaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani