MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*X48WsmNc23pmAB6oPcDv5ITM4Ut6B81jkUWsZQnbW89vUcnUyeltPn5O34Ge4z1GYQDZKo3PdFtKSkDX--vxEg/article25841331C69423300000578784_634x422.jpg?width=650)
SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Aponea kifo kwenye gurudumu la ndege
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi
Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.
Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Abiria 900 wakwama Dar baada ya treni ya mzigo kupata ajali
10 years ago
Bongo515 Aug
Ndege ya India iliyokuwa na abiria 280 yashuka futi 5000 angani baada ya rubani kusinzia
10 years ago
VijimamboNDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NtJUJHYrpow/VopH5zQtzfI/AAAAAAAIQKE/3eaI5N2oF80/s72-c/Etihad_Airways_-_Airbus_A380-861.jpg)
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA BAADA YA KUJIUNGA NA MPANGO WA KUPATA FEDHA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-NtJUJHYrpow/VopH5zQtzfI/AAAAAAAIQKE/3eaI5N2oF80/s320/Etihad_Airways_-_Airbus_A380-861.jpg)
MAKATABA wenya thamani ya dola za kimarekani milioni $700m uliosainiwa na washirika wa ndege ya Etihad kwa ajili ya upanuzi wa shirika hilo umetambuliwa na shirika lenye sifa duniani katika nyanja ya masuala ya kifedha na uchumi la “International Financing Review (IFR)” na hivyo kuitunuku shirika la ndege la Etihad na tuzo maalum.
Mkataba huo wa miaka mitano ulitambulika kama dhamana kubwa kabisa ya mwaka iliyosainiwa kutoka barana ulaya, mashariki ya kati na Afrika, katika hafla...
11 years ago
Bongo524 Jul
Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu
Ndege ya Air France ikiwa imetua
Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...