Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu
Ndege ya Air France ikiwa imetua
Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura…
Matukio ya ajali za ndege yalichukua headlines katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Kuna hii nyingine inayohusisha ndege ya abiria aina ya Air France Boeing 777 AF463, iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Mauritius na Paris ambapo imelazimika kutua kwa ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kuwepo hofu ya bomu. […]
The post Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Tishio la 'Bomu' lalazimu ndege ya Ufaransa kutua Kenya
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Washukiwa wa bomu bandia ndege ya Air France wakamatwa Ufaransa
Watuthumiwa hao (kushoto) baada ya kukamatwa.
MAOFISA wa Polisi nchini Ufaransa wamewatia mbaroni abiria wawili wa ndege hiyo ambao ni mke na mme liokuwa abiria katika ndege ya Air France Boeing 777 nambari AF463 iliyolazimika kutua kwa dharura nchini Kenya hapo jana kufuatia tishio la bomu.
Duru zinasema kuwa wawili hao ambao majina yao bado hayawekwa hadharani walikamatwa punde baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Charles de Gaulle nchini Ufaransa.
Waliokamatwa ni ofisa mmoja...
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
11 years ago
Bongo518 Jul
Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda
10 years ago
Vijimambo30 Sep
MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Ndege yatua barabarani Uganda
9 years ago
MichuziNDEGE YA UTAFITI YATUA KILIMANJARO