Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YA UTAFITI YATUA KILIMANJARO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu ujio wa ndege ya pili ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mwishoni mwa wiki, ndege hiyo inatarajia kuanza utafiti wiki hii katika kitalu cha Eyasi Wembere na Mandawa. Mkurugenzi Mtendaji TPDC Dkt. James Mataragio akipatiwa maelekezo ya jinsi ndege hiyo inavyofanya kazi (ndani ya ndege)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege yatua barabarani Uganda

Shughuli ziliathirika leo wilayani Mi baada ya ndege kutua kwa dharrua katika barabara ya magari katika eneo la Mityana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Ndege la FASTJET lazindua safari mpya kutoka Kilimanjaro — Mwanza na Kilimanjaro — Entebe Uganda

1

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni  yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko  na kushoto ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.

6

2

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA

NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na Haji Nassor, Pemba

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege yatua mhudumu akilala ndani ya Shehena

Ndege ya abiria 170 yalazimika kutua mhudumu alipolaa ndani ya shehena ya mizigo

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani hapo...

 

9 years ago

Global Publishers

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

151220072609_air_france_624x351_reuters_nocredit

Ndege ya Air France ikiwa imetua

Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho

 ndege nyingine ya air tanzania aina ya  CRJ-200 ER yenye  uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo  ndege hiyo itaanza  kuruka kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Ndege zinazoranda Ileje ni za utafiti - Mwakyembe

SERIKALI imejiridhisha kuwa ndege zinazoonekana katika anga mpakani mwa Tanzania na Malawi, kwenye maeneo ya wilaya za Ileje na Kyela hazina madhara ni maalumu kwa utafiti.

 

5 years ago

Michuzi

NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.

 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Mwanza wakiandaa mizigo ambayo ni minofu ya samaki ya kilogram 17,262 iliyosafirishwa na Ndege ya Ethiopia  Airlines iliyoanza safari zake 21 mei 2020 kuja Tanzania katika mkoa wa Mwanza  kuchukua minofu ya samaki. Tarehe 21 mei 2020.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki  ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia  Airlines...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani