Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wauawa kwa bomu Mombasa

Watu watatu wameripotiwa kuuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Mombasa nchini Kenya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa

Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu.

 

9 years ago

Global Publishers

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

151220072609_air_france_624x351_reuters_nocredit

Ndege ya Air France ikiwa imetua

Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini

Bomb-Blast-GombeMagari yakiungua wakati wa mlipuko huo.

Borno, Nigeria

WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.

Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.

bomb-blast-explosion“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 25 wauawa kwa Bomu Nigeria

Watu 25 wameuawa kwa shambulio la bomu mjini Kaduna nchini Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi 2 wa Alshabaab wauawa kwa bomu

Viongozi wawili wa kundi la wapiganaji wa kiislamu wa Al shabaab nchini Somalia wameuawa kwenye shambulio la mabomu ya angani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Somalia wauawa kwa Bomu

Wanajeshi watano wa Somalia na Afisa wa Jeshi wameuawa kwa mlipuko wa Bomu mjini Mogadishu

 

11 years ago

GPL

ASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA

Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi Eneo la tukio  likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 17 wauawa kwa Bomu nchini Nigeria

Takriban Watu 17 wameuawa kwa Bomu mjini Biu nchini Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu zaidi ya 60 wauawa kwa Bomu Iraq

Bomu lililotegwa ndani ya gari limelipuka na kuwauwa zaidi ya watu sitini nchini Iraq,katika jimbo la Mashariki la Diyala

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani