Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini
Magari yakiungua wakati wa mlipuko huo.
Borno, Nigeria
WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.
Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.
“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 May
Watu 10 wauawa na bomu msikitini Saudia
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Watu 30 wauawa msikitini Nigeria
10 years ago
BBCSwahili31 May
Nigeria:Watu 29 wauawa msikitini
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Watu zaidi ya 60 wauawa kwa Bomu Iraq
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Watu sita wauawa msikitini Nigeria
5 years ago
CCM Blog25 May
WATU 25 WAUAWA NA KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KUSINI MWA SOMALIA
![Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu kusini mwa Somalia](https://media.parstoday.com/image/4bsf62bea2a6c61djed_800C450.jpg)
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Shambulio la bomu laua watu12 msikitini Yemen