Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU 25 WAUAWA NA KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KUSINI MWA SOMALIA

Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu kusini mwa SomaliaDuru za habari nchini Somalia zimeripoti kujiri mripuko wa bomu Jumapili usiku katika mji wa Baidoa, kusini mwa nchi hiyo.Kwa mujibu wa ripoti, bomu hilo liliripuka wakati wa sherehe za Idul-Fitr katika mji huo. Aidha duru za habari zimearifu kwamba katika hujuma hiyo kwa akali watu watano wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa. Hadi sasa hakuna kundi lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo, ingawa inadhaniwa kwamba kundi la kigaidi la ash-Shabab ndilo lililotekeleza jinai hiyo. Kundi la...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wafa katika mlipuko wa bomu

Watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa baada milipuko miwili kutokea karibu na soko kubwa la nguo la Gikomba mjini Nairobi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mlipuko Nigeria

Ripoti za kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu kadhaa wameuawa na mlipuko wa bomu karibu na mashine ya kutoa pesa ya ATM.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 46 wauawa katika mlipuko Nigeria

Zaidi ya watu 46 wameripotiwa kufa katika milipuko miwili iliyotokea jos Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 3 wauawa katika vita Somalia

Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo katikati ya Somali yamesababisha vifo vya watu watatu.

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA

WATU kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha katika mlipuko mkubwa wa bomu la kujitoa muhanga katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege. Mlipuko huo umesababiswa na mtu aliyejitoa muhanga kwa kujilipua akiwa ndani ya gari lililokuja na kuegesha katikati ya msafara wa magari ya Shirika la Umoja wa Mataifa na magari yaliyokuwa yakiusindikiza msafara huo. Kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab mara kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wasababisha vifo-Somalia

Watu 6 wameuawa baada ya bomu kulipuka karibu na uwanja wa kimataifa a ndege mjini Mogadishu

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu waua sita Somalia

Watu wanaokadiriwa kufikia sita wamekufa kutokana na mlipuko mkubwa wa bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

 

11 years ago

Michuzi

ARUSHA TENA....! WATU NANE WANADAIWA KUJERUHIWA VIBAYA NA BOMU NDANI YA MGAHAWA

  Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya hotel ya Gymkana jijini Arusha,aidha taarifa za awali zinaeleza kuwa watu nane wamejeruhiwa vibaya na mlipuko huo  Picha ni majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25),akiwa amelazwa katika hospitali ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Somalia wauawa kwa Bomu

Wanajeshi watano wa Somalia na Afisa wa Jeshi wameuawa kwa mlipuko wa Bomu mjini Mogadishu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani