Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARUSHA TENA....! WATU NANE WANADAIWA KUJERUHIWA VIBAYA NA BOMU NDANI YA MGAHAWA

  Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya hotel ya Gymkana jijini Arusha,aidha taarifa za awali zinaeleza kuwa watu nane wamejeruhiwa vibaya na mlipuko huo  Picha ni majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25),akiwa amelazwa katika hospitali ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgahawa wapigwa bomu Arusha

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige akiangalia kidonda cha Deeptak Gupta, ambaye ni mmoja wa majeruhi nane wa mlipuko wa bomu, uliotokea usiku wa kuamkia jana katika mgahawa wa Vama Traditinal Indian Cuisine jijini Arusha. (Na Mpigapicha Wetu).WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 25 WAUAWA NA KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KUSINI MWA SOMALIA

Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu kusini mwa SomaliaDuru za habari nchini Somalia zimeripoti kujiri mripuko wa bomu Jumapili usiku katika mji wa Baidoa, kusini mwa nchi hiyo.Kwa mujibu wa ripoti, bomu hilo liliripuka wakati wa sherehe za Idul-Fitr katika mji huo. Aidha duru za habari zimearifu kwamba katika hujuma hiyo kwa akali watu watano wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa. Hadi sasa hakuna kundi lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo, ingawa inadhaniwa kwamba kundi la kigaidi la ash-Shabab ndilo lililotekeleza jinai hiyo. Kundi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu larushwa kwenye mgahawa Arusha, wanane wajeruhiwa

>Watu nane wamejeruhiwa, mmoja kati yao vibaya baada ya watu wasiofahamika kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu

 

Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa  Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha  wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO



 Basi la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. Na pia kibaka aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali hiyo amepigwa na kuchomwa moto hadi kufikia na watu wenye hasira kali. Mpaka sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA REDIO 5 NDANI YA NANE NANE ARUSHA

SAM_4795Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha,wakiwa katika banda lao la matangazo katika viwanja vya nane nane Themi njiro jijini Arusha (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4802Mtangazaji maarufu ndani na nje ya Arusha Semio Sonyo wa kituo cha Redio 5 akirusha matangazo moja kwa moja katika maonyesho ya nane nane,kushoto Meneja masoko wa kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye...

 

11 years ago

GPL

NANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA

  Watu 8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!

 

11 years ago

Dewji Blog

Bomu lalipua wanne tena Arusha

SAM_1229

Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishina Issaya Mngulu.

Na Mwandishi wetu

Watu wanane wamejeruhiwa katika mlipuko wa Bomu uliotokea asubui ya leo maeneo ya Uzunguni jijini Arusha.

Akizungumza na Waandishi  wa habari jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu alisema, tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini. Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua . ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani