Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu larushwa kwenye mgahawa Arusha, wanane wajeruhiwa

>Watu nane wamejeruhiwa, mmoja kati yao vibaya baada ya watu wasiofahamika kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa

Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu.

 

11 years ago

Habarileo

Mgahawa wapigwa bomu Arusha

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige akiangalia kidonda cha Deeptak Gupta, ambaye ni mmoja wa majeruhi nane wa mlipuko wa bomu, uliotokea usiku wa kuamkia jana katika mgahawa wa Vama Traditinal Indian Cuisine jijini Arusha. (Na Mpigapicha Wetu).WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.

 

11 years ago

GPL

NANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA

  Watu 8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!

 

11 years ago

Michuzi

ARUSHA TENA....! WATU NANE WANADAIWA KUJERUHIWA VIBAYA NA BOMU NDANI YA MGAHAWA

  Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya hotel ya Gymkana jijini Arusha,aidha taarifa za awali zinaeleza kuwa watu nane wamejeruhiwa vibaya na mlipuko huo  Picha ni majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25),akiwa amelazwa katika hospitali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 10 Mbeya, wanane wajeruhiwa

>Vilio na simanzi vimetawala katika mji mdogo wa Mbalizi Wilaya ya Mbeya vijijini baada ya Watu 10 kufa papo hapo akiwamo mama na mtoto wake na wengine wanane kujeruhiwa baada ya Toyota Hiace waliyokuwa wakisafiria kugongana na lori katika eneo liloko karibu na kituo cha mafuta.

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari watatu wajeruhiwa na mlipuko wa bomu Songea

DSC00244

Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi.(Picha Zote na demasho.com)

————-

ASKARI watatu  wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa  wa Ruvuma  (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo  wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.

Tukio hilo limetokea  September 16/ 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe, wilayani...

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

GPL

ASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA

Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi Eneo la tukio  likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ASKARI WA TATU WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA BOMU SONGEA

 Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi
(Picha Zote na demasho.com)-------------
ASKARI watatu  wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa  wa Ruvuma  (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo  wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea  September 16, 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani