Bomu lalipua wanne tena Arusha
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishina Issaya Mngulu.
Na Mwandishi wetu
Watu wanane wamejeruhiwa katika mlipuko wa Bomu uliotokea asubui ya leo maeneo ya Uzunguni jijini Arusha.
Akizungumza na Waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu alisema, tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziARUSHA TENA....! WATU NANE WANADAIWA KUJERUHIWA VIBAYA NA BOMU NDANI YA MGAHAWA
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Wanne wafariki kutokana na bomu Nigeria
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Waliofariki ajali ya bomu wafikia wanne
MAJERUHI Regina Mzakule (66) amefariki dunia na kufanya idadi ya waliokufa katika tukio la bomu la kutupa kwa mkono ndani ya gari la abiria wilayani Buhigwe, Kigoma kufikia wanne. Bomu...
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Bomu laua wanne nje ya Bunge Somalia
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
Bomu latikisa Arusha
Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...
11 years ago
Habarileo09 Jul
Mgahawa wapigwa bomu Arusha
WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.
11 years ago
Habarileo10 Jul
Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa
MAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Sita wa bomu Arusha waruhusiwa
MAJERUHI sita kati ya nane wa bomu lililorushwa kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini hapa juzi, wameruhusiwa kutoka Hospitali ya KKKT Seliani huku mmoja akipelekwa jijini Nairobi, Kenya...
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Ustadhi ajeruhiwa na bomu Arusha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.
Na Mwandishi wetu
Mlipuko inayodhaniwa kuwa mabomu imezidi kushamiri katika Jiji la Arusha, baada ya watu wawili kujeruhiwa na kilichodaiwa kuwa ni bomu la kutupa kwa mkono.
Waliojeruhiwa ni Ustadhi Sudi Ali Suli, pamoja na mgeni wake aliyetambulika kwa jina la Mhaji Hussein kutoka jijini Nairobi, Kenya.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio la mlipuko...