Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu laua wanne nje ya Bunge Somalia

Bomu lililotegwa kwenye gari limelipuka na kuua watu wanne karibu na Bunge la Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la bomu laua watano, Somalia

Mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa ndani ya gari umetokea karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mogadishu nchini Somalia.

 

10 years ago

Dewji Blog

BOMU laua Kigoma

grenade

Na Mwandishi wetu

WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya kulipukiwa na bomu katika kijiji cha Migongo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma wakiwa ndani  ya gari la abiria aina ya Hiace.

Akizungumzia tukio hilo leo hii, Mwenyekiti wa Kijiji cha Kilelema, Benedicto  Mahuta, alisema kuwa tukio hilo lilitokea mida ya saa 11 alfajiri ambapo majambazi watano ndio walitekeleza tukio hilo wakati wakiwa kwenye jitihada za kuliteka.

Alisema kuwa awali gari hilo lilikuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu laua mmoja Zanzibar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomu laua polisi 10 Uturuki

Takriban polisi 10 wa Uturuki wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya basi

 

10 years ago

Habarileo

Bomu laua watu 3 kwenye basi

WATU watatu wamekufa na wengine sita kujeruhiwa na bomu la kurusha kwa mkono lililotupwa kwenye gari la abiria na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wilayani Buhigwe, katika Mkoa wa Kigoma.

 

9 years ago

BBCSwahili

Shambulio la bomu laua watu12 msikitini Yemen

Watu 12 wameuawa kwenye shambulio la bomu katika msikiti mmoja Sanaa siku mbili baada ya Rais wa Yemen Abdrabbuh Hadi kurudi Aden.

 

10 years ago

Mwananchi

Bomu laua watatu, dereva wa jaji auawa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi, kurusha bomu ndani ya basi dogo aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitoka Kilelema kwenda Kasulu, Kigoma.

 

11 years ago

GPL

FUSO LAUA WANNE TEMEKE

WATU wanne wamepoteza maisha wakati watatu wakijeruhiwa baada ya kugongwa na fuso lililokatika breki eneo la mto Mkokozi, Temeke jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, fuso hilo lilikuwa limebeba mzigo wa kokoto likitokea Mjimwema, lilipofika daraja la mto Mkokozi, lilikatika breki kisha likaparamia bajaj mbili na kusababisha maafa hayo. Chanzo: Jamii Forum ...

 

10 years ago

Mwananchi

Airbus laua wanne, lajeruhi 35 Kilosa

Watu wanne wamekufa papo hapo na wengine 35 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Airbus walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora, kuanguka eneo la Berega, wilayani Kilosa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani