Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulio la bomu laua watu12 msikitini Yemen

Watu 12 wameuawa kwenye shambulio la bomu katika msikiti mmoja Sanaa siku mbili baada ya Rais wa Yemen Abdrabbuh Hadi kurudi Aden.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la bomu laua watano, Somalia

Mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa ndani ya gari umetokea karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mogadishu nchini Somalia.

 

9 years ago

Global Publishers

Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini

Bomb-Blast-GombeMagari yakiungua wakati wa mlipuko huo.

Borno, Nigeria

WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.

Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.

bomb-blast-explosion“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa na bomu msikitini Saudia

Takriban watu 10 wameuawa katika shambulizi la mlipuaji wa kujitolea muhanga katika msikiti mmoja wa Shia mkoa wa mashariki wa taifa la Saudi Arabia

 

11 years ago

GPL

SHAMBULIO LAUA WENGINE 5 KENYA

Mabaki ya magari katika shambulio la Mpeketoni. WATU watano wamepoteza maisha baada ya shambulio lililotokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Pandanguo huko Witu wilayani Lamu nchini Kenya kilometa 30 kutoka Mpeketoni yalipotokea mauaji ya watu zaidi ya 60 wiki iliyopita. Polisi wamesema kuwa waliouawa ni kutoka jamii mbalimbali. Mkuu wa Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo amesema kuwa washambuliaji walivamia kijiji cha...

 

11 years ago

GPL

SHAMBULIO LINGINE LAUA 10 MPEKETONI

Baadhi ya wananchi wakishuhudia miili ya wenzao waliowauwa katika shambulio la usiku wa kuamkia jana Mpeketoni. Pikipiki, magari na hoteli baada ya kuchomwa moto na kundi la Al Shabaab usiku wa kuamki jana kabla ya shambulio la leo.…

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA MAGURUNETI LAUA WATATU BUJUMBURA

Shambulio mjini Bujumbura. Watu watatu wameripotiwa kuuawa kwa shambulizi la guruneti jijini Bujumbura. Polisi nchini Burundi wamesema kuwa, watu wasiojulikana jana walivurumisha maguruneti mawili katika duka moja jijini Bujumbura na kupelekea watu watatu kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Jenerali Godefroid Bizimana naibu kamanda mkuu wa polisi nchini Burundi amesema kuwa, Polisi wameimarisha ulinzi na usalama wa eneo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Shambulio la Syria laua watu kumi

Shambulio la bomu lililotekelezwa kwenye kikosi cha ulinzi cha wakurdi kaskazini mashariki mwa Syria limeua watu kumi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la kigaidi laua nchini Kenya

Watu wenye silaha wameshambulia mji wa Wajir kaskazini mwa Kenya na kuua mtu mooja na wengine wanne wamejeruhiwa

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 2 NA KUJERUHI 30 KENYA

WATU wawili wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya. Shambulio hilo linadaiwa kufanyika mapema leo wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika sala yao ya alfajiri. Watu walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa kuna majeruhi wengi ndani ya chuo hicho. Wapiganaji hao wanadaiwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani