Sita wa bomu Arusha waruhusiwa
MAJERUHI sita kati ya nane wa bomu lililorushwa kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini hapa juzi, wameruhusiwa kutoka Hospitali ya KKKT Seliani huku mmoja akipelekwa jijini Nairobi, Kenya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 May
Mlipuko wa bomu waua sita Somalia
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Bomu latupwa ndani ya basi Kigoma, laua watatu na kuacha sita taabani
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
Bomu latikisa Arusha
Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJeJ0-ikXd*m6muMqBiafZsRAL6Ngqy*KD2RWUsbM1-9n-GJQKIJZf2koBdgk8s6g06Iiei5Ijfu80NOt3MwcTn/IMG20140414WA00001.jpg?width=650)
BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA
11 years ago
Habarileo10 Jul
Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa
MAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
NANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Ustadhi ajeruhiwa na bomu Arusha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.
Na Mwandishi wetu
Mlipuko inayodhaniwa kuwa mabomu imezidi kushamiri katika Jiji la Arusha, baada ya watu wawili kujeruhiwa na kilichodaiwa kuwa ni bomu la kutupa kwa mkono.
Waliojeruhiwa ni Ustadhi Sudi Ali Suli, pamoja na mgeni wake aliyetambulika kwa jina la Mhaji Hussein kutoka jijini Nairobi, Kenya.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio la mlipuko...
11 years ago
Habarileo13 Jun
Washitakiwa bomu la Arusha ‘walindwa’
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilipewa ulinzi mkali wa Polisi wakati watuhumiwa tisa wa mlipuko wa bomu, uliotokea baa ya Arusha Night Park, walipofikishwa mahakamani hapo.