Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana. Majeruhi baada ya bomu kulipuka.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi mamia ya watu Arusha Night Park usiku huu

grenade

Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema  watu wasiofahamika wamerusha bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la  Arusha Night Park almaarufu kama “Matako Bar” iliyopo maeneo ya Mianzini.

Chanzo chetu kinasema kuwa watu wawili wamepoteza maisha hadi sasa na wengine wengi idadi isiyofahamika wamejeruhiwa vibaya huku wengine wakiwa wamekatika mikono, miguu na kuchuruzikwa na damu.

Mkasa huo umetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi watu kadhaa Arusha Night Park usiku huu

grenade

Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema  watu wasiofahamika wamerusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya Mianzini.

Chanzo chetu kinasema kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya kutokana na mlipuko huo.

Tukio hilo limetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika kwenye Bar hiyo ukitazama mpira jioni hii.

MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutaendelea...

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA BAR, LAJERUHI ZAIDI YA 10 ARUSHA

BOMU limelipuka katika baa ya Night Park iliyopo jijini Arusha na kujeruhi watu zaidi ya 10 waliokuwa eneo hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka, lajeruhi kanisani

Mtu mmoja amejeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Bomu lalipuka eneo la Kanisa

Kanisa la KKKT, Usharika wa Imani, jijini MwanzaBOMU limelipuka katika nyumba ya kulala wageni iliyopo katika eneo la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Usharika wa Imani, jijini Mwanza na kujeruhi vibaya mtumishi wa kanisa hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bomu lalipuka ndani ya basi Msri

Mtu mmoja amekufa na wanne kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu ndani ya basi la abiria katika eneo la Nasr mji mkuu wa Misri, Cairo kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Bomu lalipuka nje ya ikulu ya rais Yemen

Bomu limelipuka nje ya ikulu ya rais wa Yemen, katika mji mkuu, Sanaa, mji ambao sasa unadhibitiwa na wapiganaji wa Houthi

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA 27 NA KUJERUHI 100 UTURUKI

Mmoja wa majeruhi katika mlipuko huo. Hali ilivyokuwa baada ya mlipuko kutokea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani