BOMU LALIPUKA BAR, LAJERUHI ZAIDI YA 10 ARUSHA

BOMU limelipuka katika baa ya Night Park iliyopo jijini Arusha na kujeruhi watu zaidi ya 10 waliokuwa eneo hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 May
Bomu lalipuka, lajeruhi kanisani
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha
MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Bomu latupwa baa Arusha, lajeruhi
11 years ago
GPL
BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi mamia ya watu Arusha Night Park usiku huu
Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema watu wasiofahamika wamerusha bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha Night Park almaarufu kama “Matako Bar” iliyopo maeneo ya Mianzini.
Chanzo chetu kinasema kuwa watu wawili wamepoteza maisha hadi sasa na wengine wengi idadi isiyofahamika wamejeruhiwa vibaya huku wengine wakiwa wamekatika mikono, miguu na kuchuruzikwa na damu.
Mkasa huo umetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi watu kadhaa Arusha Night Park usiku huu
Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema watu wasiofahamika wamerusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya Mianzini.
Chanzo chetu kinasema kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya kutokana na mlipuko huo.
Tukio hilo limetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika kwenye Bar hiyo ukitazama mpira jioni hii.
MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutaendelea...
11 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
10 years ago
Habarileo03 May
Bomu lajeruhi 5 mei mosi
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.
10 years ago
Habarileo03 May
Bomu lajeruhi watano Mei Mosi
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.