Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu lajeruhi watano Mei Mosi

Mmoja wa majeruhi akiwa hospitalini kwa matibabu.(Na Mpigapicha Wetu)WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bomu lajeruhi 5 mei mosi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka, lajeruhi kanisani

Mtu mmoja amejeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha

MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu latupwa baa Arusha, lajeruhi

Watu kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mlipuko unaodhaniwa kuwa ni wa bomu katika baa maarufu ya Arusha Night Park katika eneo la Mianzini katika jiji la Arusha.

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA BAR, LAJERUHI ZAIDI YA 10 ARUSHA

BOMU limelipuka katika baa ya Night Park iliyopo jijini Arusha na kujeruhi watu zaidi ya 10 waliokuwa eneo hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.

 

10 years ago

CloudsFM

Lori lililobeba maiti laua waombolezaji watano, lajeruhi 36

WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.

Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi jijini...

 

11 years ago

CloudsFM

LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA

AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la bomu laua watano, Somalia

Mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa ndani ya gari umetokea karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mogadishu nchini Somalia.

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani