Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
10 years ago
Habarileo16 Dec
Lori lililobeba maiti laua waombolezaji 5, lajeruhi 36
WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
10 years ago
CloudsFM16 Dec
Lori lililobeba maiti laua waombolezaji watano, lajeruhi 36
WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi jijini...
11 years ago
CloudsFM17 Jul
LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA
AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwp*e-E2og6MNjcG1-dkfdefAwQlSXgG-QHdzs6I-0JMtEv4gPOUnJ4BorqaARGw0IPpmd-fofC5J0EQCJdZDLAn/LOLI.jpg?width=650)
LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-H4muyge3iG0/UwTFGUVZRAI/AAAAAAAALCI/FivRpsR2pjM/s1600/se4.jpg)
LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE