Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:LORI LA MAFUTA LADONDOKA MDA HUU MLIMA SEKENKE NA KULIPUKA NA KUUA WATU WANNE



 Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua  Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii  Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
 Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa  Hii ni njia ya mlima sekenke Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo. Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo. Shuhuda wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar

Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa

Taharuki ya aina yake ilitokea jana eneo la Tabata Relini kwenye yadi ya malori ya Kampuni ya Oilcom baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichotokana na kupasuka kwa tanki la mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya

>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LAPINDUKA NA KUUA WANNE MBEYA

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.200 AKQ AINA YA ISUZU LORI IKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA KUACHA NJIA NA KISHA KUIGONGA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.614 BUK AINA YA T-BETTER ILIYOKUWA PEMBENI YA BARABARA NA KISHA KUPINDUKA.AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 22.09.2014 MAJIRA YA SAA 17:00 JIONI HUKO MLIMA NYIMBILI, KATA NA TARAFA YA KAMSAMBA, BARABARA YA KAMSAMBA/MLOWO, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.WALIOFARIKI KATIKA AJALI...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lori la mafuta lawaua watu 70 Nigeria

Karibu watu 70 wamefariki huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani