Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANKI MAFUTA LALIPUKA NA KUSABABISHA ADHA KUBWA KWA WASAFIRI SHELUI, SINGIDA‏

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tanki mafuta lalipuka na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri maeneo ya Shelui Singida

Untitled 4

Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo wa kubeba lita 40.000 za mafuta ya Petroli lililipuka majira ya Saa 11:00 katika barabara kuu ya Dodoma Mwanza eneo la Shelui mkoani Singida wakati breki za tanki hilo upande wa kushoto zilipojam na kusababisha moto, Jambo lililomfanya dereva wa roli lenye namba za usajiri T 164 CGF aina ya...

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

11 years ago

GPL

LORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA

Lori la tanki la mafuta lapinduka katika barabara ya Morogoro, jirani na Daraja la Ruvu na kufunga njia hivyo kusababisha foleni kubwa ya magari na adha kubwa kwa wasafiri. Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita na njia haipitiki!

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya

>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.

 

11 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa

Taharuki ya aina yake ilitokea jana eneo la Tabata Relini kwenye yadi ya malori ya Kampuni ya Oilcom baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichotokana na kupasuka kwa tanki la mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar

Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka.

 

11 years ago

GPL

MO AWASHTAKI CCM SINGIDA KWA KINANA‏

Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala akizungumza na waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo. Katikati ya kiwanja chenyewe.…

 

11 years ago

GPL

WADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI‏

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika halmshauri ya manispaa ya Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini Singida. Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi. Meneja msaidizi wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Singida, Isaya Shekifu, akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Singida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani