Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA

Lori la tanki la mafuta lapinduka katika barabara ya Morogoro, jirani na Daraja la Ruvu na kufunga njia hivyo kusababisha foleni kubwa ya magari na adha kubwa kwa wasafiri. Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita na njia haipitiki!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LORI LA LAPINDUKA KIMARA WATU WANAJISEVIA MAFUTA KWA NDOO

LORI la mafuta ambalo namba za usajili hazijatambuliwa wala kampuni inayolimiki, limepinduka mchana huu maeneo ya Kimara-Stop Over jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, kondakta ameokolewa isipokuwa dereva ambaye inasadikiwa amekufa bado mwili wake umekandamizwa na lori hilo, polisi kwa kushirikiana na wananchi wanafanya jitihada za kumtoa. Shuhuda huyo amesema vijana ‘wahuni’ wa maeneo hayo,...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LAPINDUKA NA KUUA WANNE MBEYA

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.200 AKQ AINA YA ISUZU LORI IKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA KUACHA NJIA NA KISHA KUIGONGA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.614 BUK AINA YA T-BETTER ILIYOKUWA PEMBENI YA BARABARA NA KISHA KUPINDUKA.AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 22.09.2014 MAJIRA YA SAA 17:00 JIONI HUKO MLIMA NYIMBILI, KATA NA TARAFA YA KAMSAMBA, BARABARA YA KAMSAMBA/MLOWO, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.WALIOFARIKI KATIKA AJALI...

 

9 years ago

GPL

TRELA LA LORI LAPINDUKA JIJINI DAR LEO

Trela la lori lenye namba za usajili T863 AEF limepinduka mchana wa leo eneo la Polisi Ufundi, Barabara ya Kilwa jijini Dar. Ajali hiyo imetokea baada ya lori lililokuwa likivuta trela hilo kujaribu kukwepa gari dogo lililokuwa likitokea mbele yake.…

 

10 years ago

Vijimambo

TELA LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA JIONI HII

Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.Mafuta aina ya petroli yakimwagikaPolisi Usalama barabarani wakilinda eneo hiloTela hilo T 172ABT likiwa chini Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanki mafuta lalipuka na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri maeneo ya Shelui Singida

Untitled 4

Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo wa kubeba lita 40.000 za mafuta ya Petroli lililipuka majira ya Saa 11:00 katika barabara kuu ya Dodoma Mwanza eneo la Shelui mkoani Singida wakati breki za tanki hilo upande wa kushoto zilipojam na kusababisha moto, Jambo lililomfanya dereva wa roli lenye namba za usajiri T 164 CGF aina ya...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA

Lori la mafuta likiwa limepinduka eneo la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa, Dar. Kikosi cha Zima Moto kikiwa eneo la tukio.…

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA

Lori lililopata ajali, hapa jitihada ya kuzima moto huo zikiendelea. Takribani watu 70 wamefariki dunia huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto na kuteketea vibaya. Police wanasema huenda kilichosababisha moto huo ni ajali. Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alishindwa kulidhibiti ndipo likakosa mwelekeo na kutoka barabarani na kuwagonga watu waliokuwa wakisubiri usafiri katika kituo kimoja...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani