LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
LORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR
10 years ago
GPLLORI LA MAFUTA LAANGUKA
11 years ago
GPL
LORI LA LAPINDUKA KIMARA WATU WANAJISEVIA MAFUTA KWA NDOO
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Lori laanguka na kuziba barabara muhimu Nairobi
11 years ago
Dewji Blog15 Oct
Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
11 years ago
Mtanzania15 Oct
Lori la mafuta laleta maafa Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.
Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.
Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...
11 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa
11 years ago
Vijimambo
LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO

Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...