Lori la mafuta laleta maafa Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.
Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.
Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Shambulio bandia laleta maafa Kenya
10 years ago
GPLLORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
10 years ago
GPLLORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR
10 years ago
VijimamboLORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...
10 years ago
GPLLORI LA MAFUTA LAANGUKA