Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LA MAFUTA LAANGUKA

Lori la mafuta likiwa limepinduka eneo la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa, Dar. Kikosi cha Zima Moto kikiwa eneo la tukio.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR

Mashuhuda wakieleza yaliyotokea. Wafanyakazi kampuni inayomiliki lori hilo ambayo bado haijafahamika, wakifanya tathmini ya hasara iliyopatikana.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Lori laanguka na kuziba barabara muhimu Nairobi

Foleni ndefu ya magari imeshuhudiwa katika moja ya barabara kuu za kuingia jiji la Nairobi baada ya lori kuanguka.

 

11 years ago

GPL

LORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA

Lori la tanki la mafuta lapinduka katika barabara ya Morogoro, jirani na Daraja la Ruvu na kufunga njia hivyo kusababisha foleni kubwa ya magari na adha kubwa kwa wasafiri. Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita na njia haipitiki!

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA

Lori lililopata ajali, hapa jitihada ya kuzima moto huo zikiendelea. Takribani watu 70 wamefariki dunia huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto na kuteketea vibaya. Police wanasema huenda kilichosababisha moto huo ni ajali. Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alishindwa kulidhibiti ndipo likakosa mwelekeo na kutoka barabarani na kuwagonga watu waliokuwa wakisubiri usafiri katika kituo kimoja...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar

Wankyo Nyigesa

Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.

Na Mwandishi wetu

Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.

Tukio hilo  linadaiwa kutokea  kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.

Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...

 

10 years ago

Mtanzania

Lori la mafuta laleta maafa Dar

lori la mafutaNA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.

Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.

Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lori 100 za mafuta zashambuliwa Syria

Muungano huo umeharibu zaidi ya malori 100 mashariki mwa Syria katika eneo ambalo wanamgambo wa Islamic State huendesha shughuli zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani