Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
10 years ago
Michuzi17 Dec
LORI LILILOBEBA MAITI LAPATA AJALI, LAUA WATU 5 NA KUJERUHI WENGINE 36
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Bw. Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwp*e-E2og6MNjcG1-dkfdefAwQlSXgG-QHdzs6I-0JMtEv4gPOUnJ4BorqaARGw0IPpmd-fofC5J0EQCJdZDLAn/LOLI.jpg?width=650)
LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA
10 years ago
Habarileo15 Oct
Lori la mafuta laua 3, lateketeza baa, gesti
MATARAJIO ya neema ya kujipatia mafuta ya 'dezo’ kutoka katika lori lililoanguka eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, juzi usiku yaligeuka majuto na kuibua vilio na simanzi, baada ya kulipuka na kusababisha maafa, ikiwa ni pamoja na vifo vya watu watatu, huku wengine saba wakijeruhiwa vibaya.
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya
11 years ago
Habarileo21 Jun
Lori laharibu daraja Dar, laua mmoja
MTU mmoja amekufa na wengine sita wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda kutumbukia kwenye Daraja la Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-T5d6ReEQFFNKQIWZIo9c58fzc6xoqCwI16vepRlo9PR77UH*tJZc*FcqkFQZonolVh7BWrBsg1H8qNgdqVkwlcnm-*cwS0o/BREAKINGNEWS22.gif?width=500)
LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Lori la mafuta laleta maafa Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.
Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.
Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa