Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya
>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa
10 years ago
GPL
LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA
11 years ago
GPL
LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE
11 years ago
Dewji Blog15 Oct
Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
11 years ago
Habarileo15 Oct
Lori la mafuta laua 3, lateketeza baa, gesti
MATARAJIO ya neema ya kujipatia mafuta ya 'dezo’ kutoka katika lori lililoanguka eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, juzi usiku yaligeuka majuto na kuibua vilio na simanzi, baada ya kulipuka na kusababisha maafa, ikiwa ni pamoja na vifo vya watu watatu, huku wengine saba wakijeruhiwa vibaya.
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Lori laua watu saba Mbeya
11 years ago
CloudsFM17 Jul
LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA
AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...