Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulio bandia laleta maafa Kenya

Inchni kenya, katika chuo kikuu cha strathmore, mwanamke mmoja amefariki na zaidi ya wanafunzi 20 kujeruhiwa katika oparesheni ya kuiga shambulio la kigaidi ilioendeshwa chuoni humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Lori la mafuta laleta maafa Dar

lori la mafutaNA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.

Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.

Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunduki bandia yamletea maafa US

Polisi nchini Marekani wamuua kijana mwenye umri wa miaka 12 baada ya kubeba kilichobainika kuwa bunduki bandia

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio latibuka Kenya

Maafisa wa usalama Kenya wamekabiliana na watu waliojihami na vilipuzi waliojaribu kuyalipua mabasi kwa guruneti huko Lamu

 

11 years ago

BBCSwahili

10 wajeruhiwa katika shambulio Kenya

Watu wapatao 10 wamejeruhiwa katika shambulio la gruneti katika kituo kimoja cha utalii, kusini mwa mji wa Mombasa nchini Kenya.

 

11 years ago

GPL

SHAMBULIO LAUA WENGINE 5 KENYA

Mabaki ya magari katika shambulio la Mpeketoni. WATU watano wamepoteza maisha baada ya shambulio lililotokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Pandanguo huko Witu wilayani Lamu nchini Kenya kilometa 30 kutoka Mpeketoni yalipotokea mauaji ya watu zaidi ya 60 wiki iliyopita. Polisi wamesema kuwa waliouawa ni kutoka jamii mbalimbali. Mkuu wa Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo amesema kuwa washambuliaji walivamia kijiji cha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Daktari 'bandia' ashtakiwa Kenya

Raia mmoja wa Kenya ameshtakiwa na makosa 12 ikiwemo ubakaji,kujifanya kuwa mkunga mbali na kufungua kliniki bila leseni jijini Nairobi.

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 2 NA KUJERUHI 30 KENYA

WATU wawili wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya. Shambulio hilo linadaiwa kufanyika mapema leo wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika sala yao ya alfajiri. Watu walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa kuna majeruhi wengi ndani ya chuo hicho. Wapiganaji hao wanadaiwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio laua tena Mombasa Kenya

Mtu mmoja ameuawa katika mapambano kati ya polisi na vijana mjini Mombasa, Kenya

 

11 years ago

GPL

30 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO NCHINI KENYA

Daladala zilizochomwa moto wakati wa shambulio hilo la Mpeketoni, Lamu nchini Kenya.
Magari yaliyochomwa moto katika kituo cha polisi cha Mpeketoni. WATU zaidi ya 30 wameuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo cha mafuta…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani