Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LA LAPINDUKA KIMARA WATU WANAJISEVIA MAFUTA KWA NDOO

LORI la mafuta ambalo namba za usajili hazijatambuliwa wala kampuni inayolimiki, limepinduka mchana huu maeneo ya Kimara-Stop Over jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, kondakta ameokolewa isipokuwa dereva ambaye inasadikiwa amekufa bado mwili wake umekandamizwa na lori hilo, polisi kwa kushirikiana na wananchi wanafanya jitihada za kumtoa. Shuhuda huyo amesema vijana ‘wahuni’ wa maeneo hayo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA

Lori la tanki la mafuta lapinduka katika barabara ya Morogoro, jirani na Daraja la Ruvu na kufunga njia hivyo kusababisha foleni kubwa ya magari na adha kubwa kwa wasafiri. Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita na njia haipitiki!

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lori la mafuta lawaua watu 70 Nigeria

Karibu watu 70 wamefariki huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto.

 

9 years ago

BBCSwahili

Lori la mafuta lawauwa watu 170 Sudan K

Takriban watu 170 wameuawa baada ya lori la mafuta kulipuka Sudan Kusini kulingana na msemaji wa rais.

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:LORI LA MAFUTA LADONDOKA MDA HUU MLIMA SEKENKE NA KULIPUKA NA KUUA WATU WANNE



 Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua  Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii  Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
 Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa  Hii ni njia ya mlima sekenke Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo. Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo. Shuhuda wa...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LAPINDUKA NA KUUA WANNE MBEYA

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.200 AKQ AINA YA ISUZU LORI IKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA KUACHA NJIA NA KISHA KUIGONGA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.614 BUK AINA YA T-BETTER ILIYOKUWA PEMBENI YA BARABARA NA KISHA KUPINDUKA.AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 22.09.2014 MAJIRA YA SAA 17:00 JIONI HUKO MLIMA NYIMBILI, KATA NA TARAFA YA KAMSAMBA, BARABARA YA KAMSAMBA/MLOWO, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.WALIOFARIKI KATIKA AJALI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani