Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT:LORI LA MAFUTA LADONDOKA MDA HUU MLIMA SEKENKE NA KULIPUKA NA KUUA WATU WANNE



 Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua  Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii  Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
 Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa  Hii ni njia ya mlima sekenke Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo. Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo. Shuhuda wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO

Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso

Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali. Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba,...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LAPINDUKA NA KUUA WANNE MBEYA

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.200 AKQ AINA YA ISUZU LORI IKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA KUACHA NJIA NA KISHA KUIGONGA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.614 BUK AINA YA T-BETTER ILIYOKUWA PEMBENI YA BARABARA NA KISHA KUPINDUKA.AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 22.09.2014 MAJIRA YA SAA 17:00 JIONI HUKO MLIMA NYIMBILI, KATA NA TARAFA YA KAMSAMBA, BARABARA YA KAMSAMBA/MLOWO, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.WALIOFARIKI KATIKA AJALI...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI

Watu wanne wamefariki dunia na 21 kujeruhiwa baada ya basi aina ya Isuzu  kugonga treni ya abiria iendayo bara katika  kilomita 276/0 kati ya Stesheni  za Kimamba na Kilosa mkoani Morogoro saa 11:25 asubuhi leo Julai 01, 2015. Wahanga walipakiwa katika  treni hiyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa.Basi lilohusika ni lenye namba za usajili T837CTM Isuzu Coaster linalomilikiwa na Feisal  A. Khuwel wa Kilosa.Taarifa kutoka eneo la tukio  limefafanua kuwa waliofariki ni wanaume...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHOPA YAPIGA MWELEKA LEO NA KUUWA WATU WANNE JIJINI DAR LEO

Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lori la mafuta lawaua watu 70 Nigeria

Karibu watu 70 wamefariki huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani