Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

COASTER YAGONGANA USO KWA USO NA LORI JIJINI DAR, WATU ZAIDI YA 40 WANUSURIKA KUFA



Zaidi ya watu 40 wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la Ubungo -Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.Tukio hilo limevuta hisia za mamia ya wakazi wa Tegeta huku baadhi ya mafundi gereji wa Tegeta wakijaribu kutumia vifaa maalumu kukata mabati ya magari kwa nia ya kunasua baadhi ya majeruhi walionasa ndani ya COASTA hiyo kusuru abiria...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Miili 23 ya ajali ya basi la Another G na lori Mufindi Iringa yatambuliwa

Mkuu wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita (kushoto)  akiwa na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya hiyo ya Mufindi katika kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya Mufindi. Baadhi ya ndugu wakichukua mwili wa ndugu yao baada ya kuutambua

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana, wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama...

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

10 years ago

Vijimambo

MIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita  kushoto  akiwa na wajumbe wa kamati ya  ulinzi na usalama wilaya hiyo ya  Mufindi  katika  kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya  MufindiBaadhi ya  ndugu  wakichukua mwili wa ndugu  yao baada ya  kuutambua

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji  mmoja kati ya  majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana  ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Lori la mizigo lagonga Kilabu cha Pombe na kuua watu watano papo hapo!

unnamed

Lori la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.

unnamed (9)

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea .

unnamed (10)

Maiti nne za marehemu ambao walifariki papo hapo baada ya Lori hilo kugonga kilabu hicho ikiwa imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya Iringa.

unnamed (11)

 Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyouwa wata watano papo hapo.

unnamed (12)

 Hivi...

 

10 years ago

Michuzi

AJALI YA LORI NYORORO IRINGA, LAFUNGA BARABARA KWA SAA KADHAA

Edwin Moshi wa Eddy BlogWatumiaji wa barabara ya Iringa Njombe wamekwama toka jana majira ya saa 10 jioni kufuatia ajali ya lori lililobeba shaba lenye namba za usajili T 261 BCM linalovuta tela lenye namba za usajili T 595 BAS kupata ajali na kufunga barabara na kusababisha magari kushindwa kupita.  Mtandao huu umeshuhudia msururu mkubwa wa magari yanayokwenda mikoa ya njombe Ruvuma Mbeya na nchi jirani, pamoja na yanayotoka kwenye mikoa hiyo kwenda Iringa Dodoma, Dare es Salaam na mikoa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:LORI LA MAFUTA LADONDOKA MDA HUU MLIMA SEKENKE NA KULIPUKA NA KUUA WATU WANNE



 Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua  Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii  Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
 Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa  Hii ni njia ya mlima sekenke Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo. Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo. Shuhuda wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani