AJALI YA LORI NYORORO IRINGA, LAFUNGA BARABARA KWA SAA KADHAA

Edwin Moshi wa Eddy BlogWatumiaji wa barabara ya Iringa Njombe wamekwama toka jana majira ya saa 10 jioni kufuatia ajali ya lori lililobeba shaba lenye namba za usajili T 261 BCM linalovuta tela lenye namba za usajili T 595 BAS kupata ajali na kufunga barabara na kusababisha magari kushindwa kupita. Mtandao huu umeshuhudia msururu mkubwa wa magari yanayokwenda mikoa ya njombe Ruvuma Mbeya na nchi jirani, pamoja na yanayotoka kwenye mikoa hiyo kwenda Iringa Dodoma, Dare es Salaam na mikoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Ajali yafunga barabara kwa saa nne Kibaha
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Miili 23 ya ajali ya basi la Another G na lori Mufindi Iringa yatambuliwa
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto) akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya basi la Another G na lori iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana, wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama...
10 years ago
VijimamboMIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
MichuziMIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA , DC MBONI AWAPA USHAURI TBS KUKAGUA UBORA WA VYOMBO VYA USAFIRI
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto) akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya basi la Another G na lori iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Marekani yashambulia Taliban kwa makombora saa kadhaa baada ya mkataba
11 years ago
GPL11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Taarifa: Mjengwablog imerudi hewani saa kadhaa zilizopita
NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG SASA IKO HEWANI .
UNAWEZA KUITEMBELEA KUPITIA http://mjengwablog.com/
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI.