Ajali yafunga barabara kwa saa nne Kibaha
Mamia ya abiria waliokua wanasafiri kupitia barabara kuu  ya Dar esalam - Morogoro leo wamekwama kwa zaidi saa nne katika eneo la Bamba Kata ya Kongowe mjini Kibaha baada ya magari matano kugongana na kisha kuziba barabara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QzNTlpUkBVc/VKGauEBFtkI/AAAAAAAG6fU/fAwl6bAdpfw/s72-c/2014-12-29%2B07.48.52.jpg)
AJALI YA LORI NYORORO IRINGA, LAFUNGA BARABARA KWA SAA KADHAA
Edwin Moshi wa Eddy BlogWatumiaji wa barabara ya Iringa Njombe wamekwama toka jana majira ya saa 10 jioni kufuatia ajali ya lori lililobeba shaba lenye namba za usajili T 261 BCM linalovuta tela lenye namba za usajili T 595 BAS kupata ajali na kufunga barabara na kusababisha magari kushindwa kupita. Mtandao huu umeshuhudia msururu mkubwa wa magari yanayokwenda mikoa ya njombe Ruvuma Mbeya na nchi jirani, pamoja na yanayotoka kwenye mikoa hiyo kwenda Iringa Dodoma, Dare es Salaam na mikoa...
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Lema, wenzake 24 rumande kwa saa nne
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine 24 juzi walijikuta wakiwekwa mikononi mwa polisi kwa saa nne kutokana na purukushani za uandikishaji wa wapigakura katika mfumo wa BVR.
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Mawazo kuagwa kwa saa nne jijini Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kitaifa leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini hapa tukio litakalotumia saa nne na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa kitaifa wa chama hicho.
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Mwananchi16 Nov
Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo
Mvua zilizonyesha kwa saa nne mfululizo jijini Tanga
zimesababisha kuongezeka kwa maeneo yaliyoathirika na mafuriko huku baadhi ya nyumba zikibomoka na idadi ya waliolazimika kuhama makazi ikiongezeka.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5ty75VFGexI/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
11 years ago
Habarileo26 Feb
Majambazi yafunga barabara, yapora
KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za jadi, juzi usiku walifunga barabara ya Mbeya – Njombe.
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona.
DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.
Hatua hizo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania