Mawazo kuagwa kwa saa nne jijini Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kitaifa leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini hapa tukio litakalotumia saa nne na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa kitaifa wa chama hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo
Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...
9 years ago
MichuziHATIMA YA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUAGWA JIJINI MWANZA KUAMULIWA KESHO NA MAHAKAMA
Na George Binagi - GB Pazzo wa Binagi Media Group
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, ili kuiomba Mahakama hiyo kutengua zuio la kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo, lililotolewa na...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Mwili wa Kada wa Chadema Mawazo kuagwa Kitaifa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Geita Marehemu
Alphonce Mawazo, kesho unatarajiwa kuagwa Jijini Mwanza kabla ya kusafirisha
kwenda Mkoani humo kwa ajili ya Mazishi. Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema Salum Mwalimu, amesema Marehemu Mawazo
ataagwa Kitaifa kwa taratibu za chama hicho, katika uwanja wa Furahisha Jijini
Mwanza. Amesema...
9 years ago
StarTV28 Nov
 Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.
Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.
Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Ukawa kumuaga Mawazo kwa saa tano
* Wapigwa marufuku kula, kunywa wakati wa kuaga
*Lowassa, Mbowe na Sumaye kuongoza waombolezaji
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetoa saa tano kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutumia Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Akitoa ratiba mpya ya kuaga mwili wa Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita mjini hapa jana, Kaimu...
9 years ago
VijimamboMAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA.
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Lema, wenzake 24 rumande kwa saa nne
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ATpc4gM9bv0/U7_ytuPxMFI/AAAAAAAF1H8/h7n2mPrDn9E/s72-c/28.jpg)
KONGAMANO LA NNE LA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA (TAPSEA) LAFUNGULIWA LEO JIJINI MWANZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ATpc4gM9bv0/U7_ytuPxMFI/AAAAAAAF1H8/h7n2mPrDn9E/s1600/28.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tmcTBRImdNA/U7_8tevz5eI/AAAAAAAF1Mc/mlmMbd4ly-c/s1600/_7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LDK2y1QJLrY/U7_zvJsZhFI/AAAAAAAF1KU/NP2gqhMyGX4/s1600/_2.jpg)
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi Tanzania na Mshauri wa Mambo ya...
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Ajali yafunga barabara kwa saa nne Kibaha