Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa kumuaga Mawazo kwa saa tano

Mawazo* Wapigwa marufuku kula, kunywa wakati wa kuaga

*Lowassa, Mbowe na Sumaye kuongoza waombolezaji

 

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetoa saa tano kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutumia Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Akitoa ratiba mpya ya kuaga mwili wa Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita mjini hapa jana, Kaimu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo

Wakati wapenzi, wafuasi, wanachama, viongozi na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wengine wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla, wakijiandaa kutoa heshima za mwisho kwa Kamanda Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili mwishoni mwa juma lililopita akiwa anatekeleza majukumu yake ya kisiasa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, tayari viongozi waandamizi wa chama na

 

9 years ago

Mwananchi

Mawazo kuagwa kwa saa nne jijini Mwanza

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kitaifa leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini hapa tukio litakalotumia saa nne na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa kitaifa wa chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Korti: Wafuasi ruksa kumuaga Mawazo

Mahakama Kuu kanda ya Mwanza leo mchana imetengua amri ya polisi inayokataza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Slaa abanwa kwa saa tano



Ni unyama aliofanyiwa Kagenzi na madai ya kutaka kudhuriwa
NA MWANDISHI WETU
SAKATA la kushambuliwa kwa aliyekuwa mlinzi wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, Khaild Kangezi, limechukua sura mpya baada ya kiongozi huyo kufika katika kituo kikuu cha polisi na kuandika maelezo kwa takriban saa tano.
Hivi karibuni,  Dk. Slaa kupitia kwa mmoja wa viongozi wa CHADEMA, Mabere Marando, alidai kuwepo kwa mpango wa kumdhuru, ambao unaratibiwa na maofisa usalama kwa kushirikiana na baadhi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Biashara Mwanza zasimama saa tano

MSUGUANO kati ya Wafanyabiara wadogo (Machinga), na Polisi mkoani Mwanza umezidi baada ya jana shughuli za biashara kusimama zaidi ya saa tano. Sakata hilo lililoanza kufukuta majira ya saa sita...

 

10 years ago

GPL

BUNGE KUENDELEA LEO SAA TANO ASUBUHI

Ni baada ya kikao cha jana usiku kuvunjika kwa wajumbe kutoridhika na maazimio ya wenzao, Spika aahirisha shughuli za bunge mpaka saa 5 asubuhi.

 

9 years ago

Vijimambo

Kigogo wa Chadema ahojiwa polisi saa tano.

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu.
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu (pichani), kwa madai ya kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho mkoani hapa, Basil Lema.

Hata hivyo, baada ya kuhojiwa jeshi hilo lilimwachia huru Komu na kisha kulifuta jalada la...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo. Anaandika Dany Tibason … (endelea).Fedha, hizo zimepatika baada ya wabunge 113 wa Ukawa kuchangishana kiasi Sh. 300,000 kila mmoja ambazo zitakabidhiwa familia

 

10 years ago

Vijimambo

MWISHO WA TICKET ZA BEI NAFUU YA $75 LEO USIKU SAA TANO @11:59 PM


NUNUA TICKET ONLINE ..INGIA HAPAWWW.DIAMONDUSATOUR.COM

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani