Kigogo wa Chadema ahojiwa polisi saa tano.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu.
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu (pichani), kwa madai ya kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho mkoani hapa, Basil Lema.
Hata hivyo, baada ya kuhojiwa jeshi hilo lilimwachia huru Komu na kisha kulifuta jalada la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Dk. Slaa ahojiwa kwa saa sita Polisi
Aziza Masoud na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana lilimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa, kwa zaidi ya saa sita kuhusiana na tuhuma za mauaji dhidi yake.
Hilo limetokea siku moja baada ya mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Khalid Kagenzi, kueleza jinsi alivyoteswa na walinzi wa Chadema na hata kumuhusisha na tishio la mauaji ya kiongozi huyo.
Dk.Slaa alihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...
10 years ago
Vijimambo31 Mar
Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Dr%20Slaa%20na%20Mkewe-31March2015.jpg)
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.
Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...
10 years ago
GPLKIGOGO MAMLAKA YA USALAMA USAFIRI WA ANGA AHOJIWA (TCIA)
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Masogange ahojiwa ‘airport’ zaidi ya saa 10
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Aliyetumikishwa China ahojiwa Interpol saa 11
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Muuguzi anayedaiwa kutekwa wiki iliyopita apatikana, ahojiwa na polisi
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-N0m_D6J7prw/VQKkB1ff8fI/AAAAAAAAB-k/ud4_uTDBtxE/s72-c/Slaa2(13).jpg)
Slaa abanwa kwa saa tano
Ni unyama aliofanyiwa Kagenzi na madai ya kutaka kudhuriwa
NA MWANDISHI WETU
![](http://4.bp.blogspot.com/-N0m_D6J7prw/VQKkB1ff8fI/AAAAAAAAB-k/ud4_uTDBtxE/s1600/Slaa2(13).jpg)
Hivi karibuni, Dk. Slaa kupitia kwa mmoja wa viongozi wa CHADEMA, Mabere Marando, alidai kuwepo kwa mpango wa kumdhuru, ambao unaratibiwa na maofisa usalama kwa kushirikiana na baadhi ya...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Biashara Mwanza zasimama saa tano
MSUGUANO kati ya Wafanyabiara wadogo (Machinga), na Polisi mkoani Mwanza umezidi baada ya jana shughuli za biashara kusimama zaidi ya saa tano. Sakata hilo lililoanza kufukuta majira ya saa sita...