Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muuguzi anayedaiwa kutekwa wiki iliyopita apatikana, ahojiwa na polisi

Dar es Salaam. Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri aliyetekwa Machi 12, amepatikana usiku wa kuamkia jana baada ya watekaji hao kudaiwa kumtupa katika pori moja lililoko Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Apatikana miaka 10 baada kutekwa nyara

Mwanamke wa miaka 25 Marekani, aliyepotea miaka 10 iliyopita, amewaambia polisi alilazimika kuolewa na kuzaa na aliyemteka nyara.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yathibitisha mgombea ubunge wa ACT kutekwa

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Mwananchi

Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar

 Wakati watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za uongo kuhusu ajali hiyo imefahamika.

 

9 years ago

Vijimambo

Kigogo wa Chadema ahojiwa polisi saa tano.

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu.
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu (pichani), kwa madai ya kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho mkoani hapa, Basil Lema.

Hata hivyo, baada ya kuhojiwa jeshi hilo lilimwachia huru Komu na kisha kulifuta jalada la...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa ahojiwa kwa saa sita Polisi

Aziza Masoud na Asifiwe George, Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana lilimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa, kwa zaidi ya saa sita kuhusiana na tuhuma za mauaji dhidi yake.
Hilo limetokea siku moja baada ya mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Khalid Kagenzi, kueleza jinsi alivyoteswa na walinzi wa Chadema na hata kumuhusisha na tishio la mauaji ya kiongozi huyo.
Dk.Slaa alihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Dk. Willibrod Slaa na mke wake Josephine Mushumbusi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.

Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...

 

11 years ago

GPL

POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO, HUYU HAPA!

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 na picha yake kudaiwa ‘kuminyiwa’ na askari wenzake ili isionekane, hatimaye Ijumaa Wikienda limeinasa. Mwanamama ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 anayedaiwa kuiba mtoto wa jinsia ya kiume aliyefahamika...

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi apatikana na hatia ya ubakaji Oklahoma

Afisa mmoja wa polisi mjini Oklahoma amepatikana na hatia ya ubakaji pamoja na kumnyanyasa mwanamke mmoja mweusi katika eneo la umasikini alilokuwa akifanya kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani