Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Apatikana miaka 10 baada kutekwa nyara

Mwanamke wa miaka 25 Marekani, aliyepotea miaka 10 iliyopita, amewaambia polisi alilazimika kuolewa na kuzaa na aliyemteka nyara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yakiri kutekwa nyara kwa raia

Serikali ya Nigeria imekiri kwamba raia,wakiwemo watoto wametekwa nyara na wapiganaji wa Boko Haram katika majuma ya hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Muuguzi anayedaiwa kutekwa wiki iliyopita apatikana, ahojiwa na polisi

Dar es Salaam. Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri aliyetekwa Machi 12, amepatikana usiku wa kuamkia jana baada ya watekaji hao kudaiwa kumtupa katika pori moja lililoko Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyetoweka baada ya kumaliza mbio apatikana

Mwanariadha kutoka Italia aliyetoweka baada ya kumaliza mbio za New York Marathon amepatikana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4

Mahakama nchini El Salvador imeamuru mtoto aliyebadilishwa punde baada ya kuzaliwa kukutanishwa na wazazi wake halisi miezi minne baadaye

 

10 years ago

Vijimambo

Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5

Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.

Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...

 

9 years ago

StarTV

Mchezaji wa zamani wa Ivort Coast apatikana akiwa amefariki baada ya kupotea  

 

Mwili wa mlinzi wa zamani wa timu ya Wigan Athletic ya England Steve Gohouri umepatikana kando ya mto Rhine Magharibu mwa mji wa Krefeld nchini Ujerumani.

Gohouri mchezaji wa kimataifa wa zamani wa Ivort Coast aliyechezea Wigani mechi 42 kati ya mwaka 2010 na 2012,alikwenda Paris kuitembelea familia yake lakini hakurudi na hakuonekana tena.

Desemba 12 mwaka uliopita Gohouri polisi iliripoti kupotea kwake baada ya kuhudhuria sherehe ya Krismass akiwa na klabu yake ya TSV Stetnbach ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano apatikana akiendesha gari la mzazi wake Utah

Akiwa na dola 3 mfukoni mwake, mvulana huyo kutok aeneo la Utah alikuwa anaelekea California kununua gari aina ya Lamborghini.

 

9 years ago

StarTV

  Afisa Wanyamapori, mvuvi Singida jela miaka 40 Kumiliki Nyara Za Serikali

 

Afisa Wanyamapori na mvuvi mmoja wa mkoani Singida wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki nyara za Serikali zenye thamani shilingi milioni 4.3.

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya Wilaya ya Singida dhidi ya washitakiwa Afisa Wanyamapori katika halmashauri ya Wilaya ya Singida Augustino Lori (44) na mvuvi Hamza Mbella (40).

Awali mwendesha mashitaka mwanasheria wa Serikali Neema Mwapiana alidai kuwa washitakiwa kwa pamoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani