Afisa Wanyamapori, mvuvi Singida jela miaka 40 Kumiliki Nyara Za Serikali
Afisa Wanyamapori na mvuvi mmoja wa mkoani Singida wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki nyara za Serikali zenye thamani shilingi milioni 4.3.
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya Wilaya ya Singida dhidi ya washitakiwa Afisa Wanyamapori katika halmashauri ya Wilaya ya Singida Augustino Lori (44) na mvuvi Hamza Mbella (40).
Awali mwendesha mashitaka mwanasheria wa Serikali Neema Mwapiana alidai kuwa washitakiwa kwa pamoja...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali
OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali.
Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Doroth Mgenyi, ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo Septemba 28, mwaka huu, kwenye Kijiji cha Sisu wilayani Misungwi, majira ya saa 7:30 mchana, Mng’ahwa Kazanza (42)...
10 years ago
GPL
AKAMATWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, NYARA ZA SERIKALI SINGIDA
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Jeshi la Polisi Singida lawashikilia waganga wa jadi wakiwa na nyara mbalimbali za serikali
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, limetangaza vita dhidi ya waganga wa kienyeji wasiokuwa na vibali ambao wanajihusisha na kutoa ramli chonganishi. Jeshi hilo limeanzisha msako mkali kwa waganga hao na kufanikiwa kukamata wanane katika kata moja ya Minga katika manispaa ya Singida.
Akitoa taarifa ya msako huo ulioanza machi 16 mwaka huu saa sita mchana, Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida,...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Waganga wa tiba mbadala Singida wanaotumia nyara za Serikali kupigia ramli chonganishi watakiwa kuzisalimisha Polisi



10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Afisa jela kuhatarisha usalama wa ndege
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Afisa wa Tanroad wilayani Babati jela kwa rushwa
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Vital Kamerhe: Mshirika mkuu wa serikali ya rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela
5 years ago
MichuziAFISA ELIMU SINGIDA ANASWA AKIDAIWA KUJARIBU KUMHONGA TAKUKURU