Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali

OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

  Afisa Wanyamapori, mvuvi Singida jela miaka 40 Kumiliki Nyara Za Serikali

 

Afisa Wanyamapori na mvuvi mmoja wa mkoani Singida wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki nyara za Serikali zenye thamani shilingi milioni 4.3.

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya Wilaya ya Singida dhidi ya washitakiwa Afisa Wanyamapori katika halmashauri ya Wilaya ya Singida Augustino Lori (44) na mvuvi Hamza Mbella (40).

Awali mwendesha mashitaka mwanasheria wa Serikali Neema Mwapiana alidai kuwa washitakiwa kwa pamoja...

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-

OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa Wanyamapori akamatwa na ndege hai 12

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaPOLISI mkoani Singida inamshikilia Ofisa Wanyamapori wa Wilaya ya Singida, Augustino Lorry (43) kwa tuhuma ya kukutwa na ndege hai wa majini 12 walio hai. Anadaiwa kukutwa na ndege 11 aina ya flamingo na mmoja aina ya Fork isivyo halali.

 

11 years ago

Mwananchi

Ashikiliwa kwa nyara za Serikali

Polisi Mkoa wa Singida, wanamshikilia Jafari Hamisi (23),Mkazi wa Ukombozi mjini Singida,kwa tuhuma ya kumilki kinyume cha sheria vipande 16 vya meno ya ndovu vyenye thamani ya zaidi ya Sh17milioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa nyara za Serikali

Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa gari mali ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakiwa na mizoga miwili ya nyamapori aina ya swala kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Waasia 2 kortini njama za kuteka nyara

WATU wawili wenye asili ya bara la Asia, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kupanga njama za kuteka nyara.

 

10 years ago

Mwananchi

Maofisa wanyamapori tisa wapanda kortini

Maofisa wanyamapori tisa wa Pori la Akiba la Selous, juzi walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Rufiji mkoani Pwani kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia na kujeruhi wawindaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Watano kortini wakidaiwa kumuua ofisa wa usalama

Watu watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za mauaji ikiwamo ya aliyekuwa Ofisa Usalama wa Taifa, Silvanus Mzeru (56).

 

9 years ago

Mwananchi

Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge

Polisi wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wanamshikilia Ofisa Biashara wa Halmashauri ya Msalala, Cosmas Makune kwa tuhuma za kujihusisha na siasa, kuikashifu Serikali na kutoa lugha chafu dhidi ya Mwenge wa Uhuru.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani