Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-
OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Oct
Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa
POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali
OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Askofu Geita kortini akidaiwa kutapeli
ASKOFU wa Kanisa la Logos Evangilical Ministry (LEM) mkoani Geita, Michael Elikana (32) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Nyankumbu mjini hapa akituhumiwa kujipatia sh milioni 3.5 kwa udanganyifu. Mbele ya...
10 years ago
Habarileo02 Jul
Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-
MFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-
JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo22 Jan
Anadaiwa kutapeli mil.40/- jela miaka 3
MKAZI wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Asha Mbaraka (54) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kujipatia Sh milioni 40 kwa njia ya udanganyifu, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela bila kuwepo mahakamani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
OFISA ELIMU NYASA AWACHARUKIA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA
![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/IMG_75321AA-1024x682.jpg)
Ofisa Elimu msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Said Kalima akiongea na Walimu wakuu na Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, Katika ukumbi wa Kasimu Majaliwa ulioko katika shule ya Sekondari Mbamba-bay wilayani hapa.Amewaagiza walimu hao kufundisha kwa bidii na kutomvumilia mwalimu mzembe na kupandisha ufaulu ufikie asilimia mia moja kwa Wilaya ya nyasa,kuanzia mwaka huu 2020 na kuendelea.
……………………………………………………………………………………….
Ofisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Nyasa Said Kalima,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-h0gO7sjtK70/Xk1H9HusgaI/AAAAAAALeYY/tMHmjKz2xU0hjZN4r-s_ncQXOtGTq0DGwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MAHAKAMA YAHOJI UPELELEZI WA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI OFISA ELIMU KWA UMMA LHRC
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Tito Magoti (26) na mwenzake kueleza hali ya upelelezi umefikia wapi kama unakwenda mbele au la.
Tito anashtakiwa na mwenzake mbaye ni mtaalamu wa masuala ya Tehama Theodory Gyan (36) ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha wa Sh.milioni 17,...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Watano kortini wakidaiwa kumuua ofisa wa usalama